Jeshi
la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam limeanzisha msako mkali wa
kuwatafuta majambazi watano ambao jana tarehe 27/7/2014 saa 8.00 mchana
walifika katika benki ya Stanbic Tawi la Kariakoo lililoko mtaa wa
Swahili.
Watatu
kati yao waliingia ndani ya benki hiyo wakiwa na mifuko mikubwa
wakijifanya ni wateja waliopeleka fedha nyingi katika benki hiyo. Watu
hao watatu walipoingia
↧