Mrembo Doreen aliyekuwa video Queen wa wimbo uliotokea kutamba miaka ya nyuma wa Ice Cream ulioimbwa na Haji Nura 'Noorah' akimshirikisha Suma Lee ameanza kurejea katika hali yake ya kaaida ikiwa ni baada ya kutopea katika matumizi ya dawa za kulevya.....
Doreen anakuwa wa kwanza kuionyesha jamii juu ya taasisi ya mwanamuziki Rehema
↧