Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Mohamed Gharib Bilal
(katikati),Sheikh Mkuu,Issa Shaaban Simba,Mkuu wa Mkoa wa Dar es
Salaam,Mh. Said Meck Sadick na Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es
Salaam,Sheikh Mussa Salum wakijumuika na Waumini wengine wa Dini ya
Kiislam kwenye Swala ya Eid El Fitr iliyofanyika Kitaifa kwenye Viwanja
vya Mnazi Mmoja,Jijini Dar es Salaam leo.
↧