Baadhi
ya waumini wa dini ya kiislamu wakiswali sala ya Iddi El Fitr katika
masjid Maamur Upanga jijini Dar es Salaam leo asubuhi
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na baadhi ya waumini wa dini ya
kiislamu muda mfupi baada ya kuswali sala ya Iddi El Fitr katika
msikiti wa Maamur Upanga jijini Dar es Salaam leo asubuhi.
"...Eid Mubarak....Eid Mubarak..."
Rais
↧