Askofu Kiongozi wa Kanisa la Moravian nchini, Alinikisa Cheyo
amesema Waziri wa Mambo ya Ndani, Mathias Chikawe hana ubavu wa kulifuta
kanisa lake.
Cheyo alitoa kauli hiyo jana ikiwa ni siku moja
baada ya Waziri Chikawe kutishia kulifuta kanisa hilo na madhehebu
mengine yatakayoendekeza migogoro.
Akizungumza Dar es Salaam kwenye maombezi ya
kuliombea Taifa yaliyoandaliwa na
↧