Baadhi ya Vyombo vya
Habari leo tarehe 29 Julai, 2014 vimeandika kwa makosa kuwa ajira za Uhamiaji
zilizositishwa jana zinahusiana na 70 zilizopatikana baada ya usaili uliofanyika
katika Uwanja wa Taifa.
Ukweli ni kuwa usaili
wa nafasi ya Mkaguzi Msaidizi wa
Uhamiaji ambao awali ulianzia Uwanja wa Taifa ulienda vizuri hadi
wakapatikana wasailiwa wa kujaza nafasi 70
za Mkaguzi Msaidizi wa
↧