Ni jambo lililowaacha midomo wazi madaktari na wauguzi wa Hospitali
ya Taifa Muhimbili (MNH), jijini Dar es Salaam ambapo mtoto Almasi
mwenye umri wa mwaka mmoja na miezi kumi (pichani akiwa na muuguzi)
kufikishwa hospitalini hapo akiwa amekatwa nyeti na mtu aliyedaiwa ni
mganga wa kienyeji ‘sangoma’ na kuipeleka kusikojulikana.
Akizungumza na Uwazi kwa masikitiko makubwa mwishoni mwa
↧