CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimetoa rasmi ratiba yake ya uchaguzi wa ndani, ambapo viongozi wa taifa wa chama hicho, akiwemo mwenyekiti na katibu mkuu wapya wanatarajiwa kutangazwa Septemba 11, mwaka huu.
Pia chama hicho kimesema Mwenyekiti wa sasa Freeman Mbowe na Katibu wake Mkuu, Dk Wilbroad Slaa, wanayo haki ya kuendelea kutetea nafasi zao hizo kwa mujibu wa Katiba
↧