Vitendo vya baadhi ya wazazi, kudhalilisha walimu vinaendelea, ambapo mzazi mmoja Selemani Juma, amewashambulia walimu wawili kwa viboko.
Amefanya hivyo kupinga mwanawe kurudishwa nyumbani, akashone kaptura. Alifanya hivyo mwishoni mwa wiki iliyopita.
Taarifa zilizomfikia mwandishi zilibainisha kuwa Juma alidhalilisha walimu wawili wa Shule ya Msingi Nzogimlole iliyopo wilayani
↧