Jeshi la polisi mkoani Morogoro linamshikilia mtoto wa miaka 14 (jina
linahifadhiwa) anayesoma darasa la sita kwa tuhuma nzito ya kuwalawiti
wenzake watano kwa mpigo.
Tukio hilo la kusikitisha lilijiri katika Mtaa wa Twanga Pepeta
Kijiji cha Fulwe-Dindili Kata ya Mikese Wilaya ya Morogoro Vijijini
mkoani hapa ambapo dogo huyo alidaiwa kufanya tukio hilo ambalo ni gumzo
kwa sasa huku
↧