Quantcast
Channel: MPEKUZI
Browsing all 45270 articles
Browse latest View live

Bunge la Katiba Ruksa kuendelea bila Wajumbe wa UKAWA

Kamati ya Mashauriano ya Bunge Maalumu la Katiba imetoa mapendekezo kwa Kamati ya Uongozi kwamba Bunge Maalumu liendelee na mkutano wake wa pili wa Bunge hilo kuanzia Agosti 5 mwaka huu.   Katika ngwe...

View Article


Davina Apewa Kichapo kizito na mumewe baada ya kunaswa akiongea na mwanaume...

Staa wa sinema za Kibongo, Halima Yahya ‘Davina’ anadaiwa kupewa kipigo kikali na mumewe, muda mfupi baada ya kukutwa akiongea kimahaba na simu iliyodaiwa kupigwa na mwanaume mwingine. Tukio hilo...

View Article


Magazeti ya leo Jumamosi ya Tarehe 26 July 2014

Magazeti  ya  leo  Jumamosi  ya  Tarehe  26  July  2014

View Article

Bifu la Ali Kiba na Diamond Lafika Pabaya......Ni vita ya kugombea nyota ya...

Hatimaye Kwa mara ya kwanza staa ‘the big name’ wa Bongo Fleva ndani na nje ya Bongo, Ali Saleh Kiba ameibuka na kumlipua hasimu wake, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, hali inayotafsiriwa kwamba bifu...

View Article

Bahati Bukuku apata Ajali mbaya ya Gari

Muimbaji wa nyimbo za Injili, Bahati Bukuku amepata ajali ya gari akiwa na dereva wake, Eddy maeneo ya Kongwa Dodoma usiku wa kuamkia leo.   Akiongea kwa simu Bahati amesema: “Ni Mungu tu aliyetuokoa,...

View Article


Watalii 17 Wavamiwa Hotelini Mkoani Kilimanjaro ......Wajeruhiwa, waporwa...

Kundi  la watu wanaoaminika kuwa ni majambazi wakiwa na silaha za moto na mapanga, wamevamia watalii 17 kutoka mataifa mbalimbali na kuwapora kiasi kikubwa cha fedha, kamera na kompyuta mpakato...

View Article

Dida afunguka..."Simu ndio chanzo cha kuachana na Mume wangu Ezden, nilikuta...

Dida Shaibu, mtangazaji wa kipindi cha Mitikisiko ya Pwani amefunguka Exclusively kupitia Sunrise ya 100.5 Times Fm na kueleza chanzo cha ndoa yake  na Ezden ‘The Rocker’ Jumanne kuvunjika. Ndoa...

View Article

Mh. Lowassa Awaandalia Futari waumini wa kiislamu Monduli

Mbunge wa jimbo la Monduli Edward Lowassa akizungunza na waumi wa dini ya kiislam (hawapo pichani), katika hafla aliyofuturisha katika Msikiti Mkuu wa Monduli mjini.   Shekh wa Wilaya ya Monduli Shekh...

View Article


Taarifa ya Jeshi la Polisi kuelekea sikuu ya Eid- El - Fitr

Jeshi la Polisi Tanzania linapenda kutoa shukrani za dhati kwa wananchi wote, vyama vya siasa, taasisi mbalimbali za serikali, madhehebu ya dini, asasi za kiraia na vyombo vya habari kwa ushirikiano...

View Article


Audio: Jokate azungumzia filamu, muziki, biashara, Alikiba vs Diamond, Wema...

Jokate Mwegelo yupo jijini Nairobi, Kenya ambapo hata hivyo hajaweka wazi ameenda kufanya nini lakini aliweza kukutana na Mzazi Willy M Tuva kwenye show ya redio inayosikilizwa zaidi nchini humo,...

View Article

Shilole apanga kugombea ubunge Igunga 2015

Shilole si mgeni katika kuota vitu vikubwa. Kutoka kwenye ndoto yake ya kufanya kolabo na Jennifer Lopez, awamu hii ameenda mbali zaidi.  Muimbaji huyo amechoka ‘Kuchuna Mabuzi’ na sasa anataka...

View Article

Sakata Zima la Hussein Machozi KUFUMANIWA Akizini na mke wa Mwanasiasa...

Lundo la vyombo vya habari nchini Kenya limeandika habari kuwa hitmaker wa ‘Kwaajili Yako’, Hussein Machozi amekamatwa akizini na mke wa mwanasiasa maarufu mjini Mombasa, Kenya.    Habari za kukamatwa...

View Article

Shekhe Mkuu atangaza Swala ya Idd Kitaifa

Shekhe Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum ametangaza Swala ya Sikukuu ya Idd El Fitri inayotarajiwa kufanyika kitaifa katika mkoa wake.   Akizungumza na waandishi wa habari kwenye kikao...

View Article


Nahofia Kuachwa Jamani, Nipo katika Mahusiano kwa miaka 6 , lakini sioni...

Mimi ni msichana wa umri wa miaka 19. Nimekuwa katika uhusiano wa kimapenzi na kijana mmoja  kwa muda wa miaka sita sasa. Isitoshe sisi ni majirani wa karibu. Aliniahidi atanioa, lakini kwa jinsi muda...

View Article

MUHAS: Tunatumia maiti 25 kwa mwaka kufundishia

Wakati sakata la kuokotwa kwa viungo vya binadamu likiendelea kutikisa nchi, Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS), kimesema kuwa hutumia maiti 25 kwa kuwafundishia wanafunzi...

View Article


Mwigulu Awabembeleza UKAWA kurudi bungeni

Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM bara), Mwigulu Nchemba ameutaka Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kurejea bungeni ili kukamilisha Mchakato wa Katiba Mpya kwa amani na utulivu.    Rai...

View Article

Wasanii wa Injili wamuunga mkono January Makamba......Waahidi kumpigia...

Wasanii wa nyimbo za Injili nchini wamemtaka Naibu Waziri wa Mawasiliano Sayansi na Teknolojia, January Makamba kuendelea na nia yake ya kugombea urais wakieleza kuwa wapo tayari kumpigia kampeni....

View Article


Diamond na Lady Jaydee washinda tuzo za AFRIMMA 2014 zilizofanyika Marekani

Kwa mara nyingine Diamond Platnumz ameendelea kuipeperusha vizuri bendera ya Tanzania kimataifa, baada ya kushinda tuzo ya AFRIMMA 2014 (African Muzik Magazine Awards) zilizofanyika July 26, Eisemann...

View Article

CHADEMA Yaumbuka tena.....Mgombea wake akisaliti Chama hadharani na kummwagia...

Diwani wa Kata ya Masoko, Mbeya Vijijini kupitia Chadema, Edward Mwampamba , juzi alikiweka njiapanda chama chake baada ya kujitoa katika kuwania nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri na kumsifia...

View Article

Wassira amtaka Tundu Lissu Awaombe Radhi Maaskofu na Mashehe

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Uratibu na Sera), Stephen Wassira ameshauri wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wanaojiita Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kurejea bungeni na kama maoni yao ni ya...

View Article
Browsing all 45270 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>