Wakati sakata la kuokotwa kwa viungo vya binadamu likiendelea
kutikisa nchi, Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili
(MUHAS), kimesema kuwa hutumia maiti 25 kwa kuwafundishia wanafunzi kila
mwaka.
Pia chuo hicho hakijawahi kuagiza maiti kutoka nje
ya nchi na kwamba ni mtu mmoja tu aliyewahi kutaka maiti ya mtoto wake
itumike kufundishia.
Kauli hiyo ya MUHAS imekuja
↧