Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM bara), Mwigulu
Nchemba ameutaka Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kurejea bungeni
ili kukamilisha Mchakato wa Katiba Mpya kwa amani na utulivu.
Rai hiyo imekuja wakati mijadala mbalimbali
inaendelea juu ya hatima ya wajumbe hao na mchakato huo tangu walipotoka
bungeni na kususia vikao vya Bunge hilo Aprili 17 na kukataa kurejea,
huku
↧