Wasanii wa nyimbo za Injili nchini wamemtaka Naibu Waziri wa
Mawasiliano Sayansi na Teknolojia, January Makamba kuendelea na nia yake
ya kugombea urais wakieleza kuwa wapo tayari kumpigia kampeni.
Makamba aliyetangaza nia ya kugombea urais akiwa
London Uingereza, alipata ahadi ya kuungwa mkono pia na Mtandao wa
Walimu Vijana waliokutana mkoni Dodoma hivi karibuni.
Wakizungumza
↧