Kwa mara nyingine Diamond Platnumz ameendelea kuipeperusha vizuri
bendera ya Tanzania kimataifa, baada ya kushinda tuzo ya AFRIMMA 2014
(African Muzik Magazine Awards) zilizofanyika July 26, Eisemann Center
Richardson, Texas, Marekani. Diamond ameshinda kipengele cha
mwanamuziki bora wa kiume Afrika mashariki.
Mtanzania mwingine aliyeing’arisha Tanzania katika tuzo hizo ni Lady
↧