Diwani wa Kata ya Masoko, Mbeya Vijijini kupitia Chadema, Edward
Mwampamba , juzi alikiweka njiapanda chama chake baada ya kujitoa
katika kuwania nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri na kumsifia
mgombea wa CCM kwamba anafaa kupewa kura zote.
Tukio lilitokea kwenye kikao cha Baraza la Madiwani wa halmashauri hiyo na kuwafanya madiwai wa CCM kushangilia.
Awali Mwenyekiti wa
↧