Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Uratibu na Sera), Stephen Wassira ameshauri wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wanaojiita Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kurejea bungeni na kama maoni yao ni ya wananchi, wasubiri wakati wa kura za maoni.
Aidha, Wasira pia amemtaka msemaji wa Ukawa, Tundu Lissu kuwaomba radhi mashehe na maaskofu ambao ni wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, kwa kudai ni
↧