Mimi ni msichana wa umri wa miaka 19. Nimekuwa katika uhusiano wa
kimapenzi na kijana mmoja kwa muda wa miaka sita sasa.
Isitoshe sisi ni
majirani wa karibu. Aliniahidi atanioa, lakini kwa jinsi muda
unavyokwenda naona kama kuna tofauti. Nahofia kuachwa.
Naombeni ushauri jamani
Mary
↧