Shekhe Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum ametangaza
Swala ya Sikukuu ya Idd El Fitri inayotarajiwa kufanyika kitaifa katika
mkoa wake.
Akizungumza na waandishi wa habari kwenye kikao maalumu katika Ofisi
za Mkoa wa Dar es Salaam za Baraza Kuu la Waislamu (BAKWATA) hii leo,
Shekhe Alhad alisema kuwa swala hiyo sambamba na hotuba mbalimbali
inatarajiwa kufanyika saa
↧