Lundo la vyombo vya habari nchini Kenya limeandika habari kuwa
hitmaker wa ‘Kwaajili Yako’, Hussein Machozi amekamatwa akizini na mke
wa mwanasiasa maarufu mjini Mombasa, Kenya.
Habari za kukamatwa akiwa na mwanamke huyo zimeenea kwa kasi nchini
humo. Gazeti la The Star limedai kuwa Hussein alikuwa na uhusiano wa
siri na wa muda mrefu na mwanamke huyo na mume wake alikuwa ameshtuka
↧