Shilole si mgeni katika kuota vitu vikubwa. Kutoka kwenye ndoto yake
ya kufanya kolabo na Jennifer Lopez, awamu hii ameenda mbali zaidi.
Muimbaji huyo amechoka ‘Kuchuna Mabuzi’ na sasa anataka kuingia
mjengoni. Mrembo huyo ambaye jina lake halisi ni Zuwena Mohamed,
amepanga kugombea ubunge kwenye jimbo analotokea la Igunga mkoani Tabora
katika uchaguzi wa mwaka 2015!
Akizungumza
↧