Jokate Mwegelo yupo jijini Nairobi, Kenya ambapo hata hivyo hajaweka
wazi ameenda kufanya nini lakini aliweza kukutana na Mzazi Willy M Tuva
kwenye show ya redio inayosikilizwa zaidi nchini humo, ‘Mambo Mseto’ ya
kituo cha Radio Citizen kuzungumzia masuala mbalimbali kuanzia filamu,
muziki, biashara, ushindani kati ya Alikiba na Diamond na uhusiano.
Kuhusu nyimbo mpya za Alikiba
↧