Kundi la watu wanaoaminika kuwa ni majambazi wakiwa na silaha za moto
na mapanga, wamevamia watalii 17 kutoka mataifa mbalimbali na kuwapora
kiasi kikubwa cha fedha, kamera na kompyuta mpakato (Laptop), kisha
kuwajeruhi wanne na kutoweka.
Tukio hilo kubwa kuwahi kutokea siku za hivi karibuni mkoani
Kilimanjaro, limetokea juzi alifajiri eneo la Mailisita kwenye hoteli ya
kitalii ya
↧