Dida Shaibu, mtangazaji wa kipindi cha Mitikisiko ya Pwani amefunguka
Exclusively kupitia Sunrise ya 100.5 Times Fm na kueleza chanzo cha ndoa yake na Ezden ‘The Rocker’ Jumanne
kuvunjika. Ndoa iliyodumu kwa muda wa mwaka mmoja tu.
Dida ameeleza kuwa mzizi wa tatizo lililopelekea ugomvi mkubwa kati
yao ni simu ya mkononi ya mumewe huyo wa wazamani baada ya kutaka
kuitumia kucheza
↧