Mbunge
wa jimbo la Monduli Edward Lowassa akizungunza na waumi wa dini ya
kiislam (hawapo pichani), katika hafla aliyofuturisha katika Msikiti
Mkuu wa Monduli mjini.
Shekh wa Wilaya ya Monduli Shekh Mwinshehe Mwinyi akizungumza na waumini wakati wa futari iliyoandaliwa na Mh. Lowassa.
Baadhi ya waumini wakipata futari iliyoandaliwa na Mbunge wa Monduli Mh. Edward
↧