Staa wa sinema za Kibongo, Halima Yahya ‘Davina’ anadaiwa kupewa
kipigo kikali na mumewe, muda mfupi baada ya kukutwa akiongea kimahaba
na simu iliyodaiwa kupigwa na mwanaume mwingine.
Tukio hilo lilitokea nyumbani kwa msanii huyo, Mbezi-Beach, Dar,
Julai 22, mwaka huu ambapo Davina alikutwa akizungumza na mwanaume
ambaye haikujulikana mara moja ni nani ndipo mumewe alipomshushia
↧