Madawa ya kulevya yamtesa Batuli.....
Mwanadada kutoka Bongo Movies, Yobnesh Yusuph ‘Batuli’ amefunguka kuwa anaumia kuona listi ndefu ya Wabongo wanaosubiri kunyongwa nchi mbalimbali kwa kukutwa na dawa za kulevya. Batuli alisema...
View ArticleMagazeti ya Leo Alhamisi ya Tarehe 24 July 2014
Magazeti ya Leo Alhamisi ya Tarehe 24 July 2014
View ArticleDiamond Platnumz To Release A Second Video For "Mdogo Mdogo". Find Out Why
Diamond Platnumz gifted his fans and especially his mother who is his biggest fan with two videos on her birthday. Mdogo Mdogo and another massive collaboration with Iyanya dubbed ‘Bum bum’. Both...
View ArticleSerikali Yawataka Wananchi kuwa Makini na Matapeli
Na Rose Masaka-MAELEZO-Dar es Salaam. Serikali imewataka wananchi kujihadhari na wizi ambao hufanywa na Taasisi za Fedha hewa ambazo zimekuwa zikidai kutoa mikopo kwa njia ya simu. Tahadhari...
View ArticleMwanamke aliyeasi Uislamu na kuolewa na Mkristo Asafirishwa kwenda Italia
Mwanamke wa Sudan aliyehukumiwa kifo kwa kuasi dini ya Kiislamu na kuolewa na Mkristo, Meriam Ibrahim, amesafirishwa kuelekea Italia baada ya kukaa ubalozi wa Marekani mjini Khartoum, Sudan kwa zaidi...
View ArticleNdege Ya Algeria Yapoteza Mawasiliano ikiwa na Abiria 116
SHIRIKA la ndege la Taifa la Algeria, limesema limepoteza mawasiliano na moja kati ya ndege zake iliyokuwa ikitoka Burkinafaso kwenda Algiers kupita Sahara. Mawasiliano yalipotea dakika 50 baada ya...
View ArticleKesi ya Watuhumiwa wa Mtoto Wa Boksi Yaahirishwa tena
Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Morogoro bado imeendelea kuahirisha kesi inayowakabili watuhumiwa watatu wanaokabiliwa na shitaka la kusababaisha kifo cha mtoto Nasra Rashidi (4) kwa madai ya...
View ArticleJaji wa Mahakama kuu afungua kesi ya madai ya sh.Milioni 300 kutokana na...
Jaji wa Mahakama Kuu, Grace Mwakipesile amefungua kesi ya madai ya kulipwa fidia ya Sh milioni 300 kutokana na majeraha na maumivu aliyoyapata katika ajali aliyoipata mkoani Shinyanga. Amefungua...
View ArticleWanaodaiwa kulishambulia Gari la Magereza kwa Risasi Wapandishwa Kizimbani
Watu wawili wanaotuhumiwa kuhusika na tukio la kushambulia gari la magereza kwa risasi, wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni wakikabiliwa na mashitaka matatu. Watuhumiwa...
View ArticleWaliotupa Viungo vya Binadamu Hadharani kukiona Cha Moto
Tukio la utupaji wa viungo vya binadamu jalalani, linalodaiwa kufanywa na Chuo cha Kimataifa cha Matibabu na Teknolojia (IMTU) cha Dar es Salaam, linadaiwa kuandika historia mbaya nchini. Wakati...
View ArticleMagazeti Ya Leo Ijumaa Ya Tarehe 25 July 2014
Magazeti Ya Leo Ijumaa Ya Tarehe 25 July 2014
View ArticleJokate Asaka Bwana wa Kumuoa
Katika kuonyesha amechoshwa na upweke, mwanamitindo Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ ameibuka na kusema kuwa sasa anasaka mwanaume wa kumuoa huku akitaja vigezo vya anayestahili kumuita mume. Akizungumzia...
View ArticleKamati ya Mashauriano yatoa Wito kwa wajumbe waliosusia Mikutano ya bunge...
Katibu wa Bunge Maalumu la Katiba,Yahya Khamis Hamad akizungumza na Wanahabari mapema leo mchana katika ofisi ndogo ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania jijini Dar,kuhusiana na maoni na...
View ArticleKundi lingine la uhalifu laibuka mkoani Dodoma....Vijana hao wanajiita...
Kundi kubwa la vijana wanaojiita wadudu wa dampo limeibuka mjini Dodoma na kufanya matukio ya uhalifu huku likihusishwa na mauaji ya watu wanne yaliyotokea hivi karibuni. Uwepo wa kundi hilo umezua...
View ArticleNick Minaj Ajianika Akiwa Nusu Uchi katika Cover la Wimbo wake mpya "Anaconda'
Nicki Minaj ni miongini mwa wasanii wa kike ambao hupenda kutengeneza attention na kiki kubwa kabla kazi yake kutoka na kuingia mitaani. Sasa jipya ni kuhusu cover la wimbo wake mpya “Anaconda”....
View ArticleBaada ya Kimya Kingi....Ali Kiba Aibuka na Ngoma Mpya Mbili, Bofya hapa...
Baada ya wapenzi wa muziki Tanzania kusubiri kwa muda mrefu sasa wamepata nafasi ya kujiburudisha na ngoma mpya kutoka kwa Alikiba. Tarehe 25 Julai, 2014 Alikiba ameachia single mbili mpya kwa wakati...
View ArticleLulu Michael Amfungukia Ali Kiba Na Kuwakoromea Wanaoendekeza...
Ali Kiba ameachia nyibo mbili kwa mpigo ambapo response ya mashabiki ni nzuri. Sasa kupitia Instagram star wa filamu nchini Elizabeth Michael 'Lulu" amefunguka mambo mengi sana kuhusiana na Ali...
View ArticleRais Kikwete Amuapisha Jaji kiongozi wa mahakama kuu ya Tanzania
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Jakaya Kikwete akimuapisha Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Mhe. Shaban Ally Lila leo jijini Dar es Salaam. Jaji Kiongozi wa Jamhuri ya...
View ArticleAibu: MJOMBA Afumaniwa na Mke wa MPWA wake wakingonoka Gesti
Timbwili la aina yake lilifumuka ndani ya gesti moja iliyopo Mbezi Afrikana jijini Dar es Salaam (jina kapuni), kufuatia kijana aliyefahamika kwa jina moja la Kelvin kumkuta chumbani mtu aliyedai ni...
View ArticleSakata la Viungo vya Binadamu Vilivyotupwa Dar: Serikali Yaifunga Hospitali...
Hospitali ya Chuo cha Kimataifa cha Matibabu na Teknolojia (IMTU) kinachohusishwa na utupaji wa viungo vya binadamu mithili ya takataka, imefungiwa kwa muda usiojulikana baada ya kugundulika kutokidhi...
View Article