Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mhe. Dkt. Jakaya Kikwete akimuapisha Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Mhe.
Shaban Ally Lila leo jijini Dar es Salaam.
Jaji Kiongozi wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Jaji Shaban Ally Lila (kulia) akitia saini hati ya Kiapo mbele ya Rais
Jakaya Kikwete wakati wa hafla ya kuapishwa kwake leo jijini Dar es Salaam. Katikati mwenye
↧