Ali Kiba ameachia nyibo mbili kwa mpigo ambapo response ya mashabiki ni nzuri. Sasa kupitia Instagram star wa filamu nchini Elizabeth Michael 'Lulu" amefunguka mambo mengi sana kuhusiana na Ali Kiba.......Hiki ndicho alichokisema:
"Haya sasa.....maelezo hatimaye yamepatikana....mnivumilie ni marefu Kidogo...!
1. Pongezi kwa @officialalikiba nimesikia Mwana wa Dar es Salaam
↧