Timbwili la aina yake lilifumuka ndani ya gesti moja
iliyopo Mbezi Afrikana jijini Dar es Salaam (jina kapuni), kufuatia
kijana aliyefahamika kwa jina moja la Kelvin kumkuta chumbani mtu
aliyedai ni mjomba wake, Joseph akiwa na mkewe wa ndoa, Emiliani.
Mkasa huo wa ajabu ulijiri usiku wa Jumamosi iliyopita kwenye gesti hiyo iliyopo Mbezi ya Afrikana jijini Dar es Salaam.
Mama mmoja
↧