Hospitali ya Chuo cha Kimataifa cha Matibabu na Teknolojia (IMTU) kinachohusishwa na utupaji wa viungo vya binadamu mithili ya takataka, imefungiwa kwa muda usiojulikana baada ya kugundulika kutokidhi viwango na maadili ya utoaji huduma za hospitali nchini.
Manispaa ya Kinondoni kwa kushirikiana na Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii imechukua jukumu la kuifungia hospitali hiyo baada ya
↧