Mwanamke wa Sudan aliyehukumiwa kifo kwa kuasi dini ya Kiislamu na
kuolewa na Mkristo, Meriam Ibrahim, amesafirishwa kuelekea Italia baada
ya kukaa ubalozi wa Marekani mjini Khartoum, Sudan kwa zaidi ya mwezi
mmoja.
Meriam na familia yake wameondoka na ndege ya Serikali ya Italia
wakisindikizwa na Makamu Waziri wa Mambo ya Nje wa Italia, Lapo
Pistelli.
Awali Meriam
↧