Tukio la utupaji wa viungo vya binadamu jalalani, linalodaiwa kufanywa na Chuo cha Kimataifa cha Matibabu na Teknolojia (IMTU) cha Dar es Salaam, linadaiwa kuandika historia mbaya nchini.
Wakati serikali ikiendelea kuchunguza tukio hilo, ikiwemo kuunda tume nyingine chini ya Wizara ya Afya na Ustawi, kujiridhisha kabla ya hatua kuchukuliwa, Baraza la Madaktari limetwishwa mzigo wa
↧