Watu wawili wanaotuhumiwa kuhusika na tukio la kushambulia gari la magereza kwa risasi, wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni wakikabiliwa na mashitaka matatu.
Watuhumiwa hao, Peter Mushi (36) dereva na Godlisten Mongi (40) ambaye hati ya mashitaka imemtambulisha kwamba ni mhandisi, walipandishwa kizimbani jana kwa mashitaka ya kula njama, unyang’anyi wa
↧