Mwanadada kutoka Bongo Movies, Yobnesh Yusuph
‘Batuli’ amefunguka kuwa anaumia kuona listi ndefu ya Wabongo
wanaosubiri kunyongwa nchi mbalimbali kwa kukutwa na dawa za kulevya.
Batuli alisema kinachowaponza vijana wengi ni kupenda fedha za
chapuchapu, matokeo yake wanaambulia kifungo cha maisha na wengine
kunyongwa katika nchi zenye misimamo mikali.
“Inashangaza sana wasichana
↧