Chama cha Madaktari Tanzania (MAT) kimesema Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Matibabu na Teknolojia (IMTU) sanjari na hospitali iliyo chini yake, vinastahili kufungiwa.
Tamko hilo la chama limekuja huku mamlaka mbalimbali zinazohusika na usimamizi wa karibu wa vyuo vikuu vya matibabu zikikiweka chuo hicho kiporo, kusubiri uchunguzi wa tuhuma zinazokikabili za kutupa viungo vya binadamu
↧