Viungo vya Binadamu Vyanaswa Bunju Dar es Slaam
JESHI la Polisi Wilaya ya Kinondoni jijini Dar limekamata viungo mbalimbali vya binadamu vilivyowekwa kwenye mifuko ya plastiki na kuhifadhiwa katika machimbo ya kokoto ya Bunju nje kidogo ya jiji la...
View ArticleMagazeti ya Leo Jumanne ya Tarehe 22 July 2014
Magazeti ya Leo Jumanne ya Tarehe 22 July 2014
View ArticlePolisi Yatoa TAMKO Kuhusiana na Viungo vya Binadamu vilivyokamatwa Jana jioni...
Polisi wa kituo kidogo cha polisi Usalama kilichopo maeneo ya Bunju A Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam jana usiku walilazimika kufyatua mabomu ya machozi pamoja na risasi kutawanya kundi...
View ArticleMke wa polisi afia nyumbani kwa dereva wa bodaboda
Jeshi la Polisi linamshikilia dereva mmoja wa pikipiki, maarufu kama bodaboda wilayani Mwanga mkoani Kilimanjaro baada ya mke wa askari polisi kukutwa amekufa chumbani kwa dereva huyo. Tukio hilo...
View ArticleSakata la Viungo vya Binadamu vilivyonaswa Dar: Watu 8 Watiwa Mbaroni
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar Es Salaam,Suleiman Kova akizungumza na Vyombo vya habari mbalimbali mapema leo makao makuu ya jeshi la polisi jijini Dar kuhusiana na sakata la viungo vya...
View ArticleMaisha ya Ray C Hatarini.....Wavuta Bangi waiwinda Roho yake Usiku na Mchana
Wiki za hivi karibuni mwanamuziki wa bongo fleva ambaye pia ni mwanaharakati wa kupinga matumizi ya dawa za kulevya Rehema Chamila 'Ray C' amepatwa na misukosuko mingi...
View ArticleVinara wa Mabomu Wakamtwa wakiwa na Mabomu 7, Risasi 6 na Baruti jijini Arusha
JESHI la polisi hapa nchini limefanikiwa kuwatia mbaroni vinara wa milipuko ya mabomu hapa nchini, Yusufu Ally (30) na mkewe Sumaina Juma (19), wakazi wa Sombetini, wakiwa na mabomu ya kurusha kwa...
View ArticleMagazeti ya Leo Jumatano ya Tarehe 23 July 2014
Magazeti ya Leo Jumatano ya Tarehe 23 July 2014
View ArticleWema Sepetu: Ugonjwa wa Ngozi Umeniharibu
MISS Tanzania 2006/07 Wema Sepetu amesema ugonjwa wa ngozi ulioshambulia sehemu ya shavu lake la kushoto umeharibu urembo wake na kumfanya ashindwe kutoka. Akizungumza kwa huzuni, Wema alisema...
View ArticleAunt Ezekiel: Filamu hazilipi.....Mafanikio yetu yanatokana na Sapoti ya...
STAA wa filamu za Bongo, Aunt Ezekiel, amesema mafanikio ya wasanii wengi wa kike hayatokani na mauzo ya kazi hiyo bali sapoti ya waume au wapenzi wao kwa kuwa soko la filamu limeharibika. “Filamu...
View ArticleKifo cha mke wa askari Polisi aliyefia kwa dereva wa bodaboda bado ni UTATA
Mkuu wa Wilaya ya Mwanga, Shaibu Ndemanga Wingu zito limegubika kifo cha mke wa askari polisi wa wilayani Mwanga, Kilimanjaro aliyefia chumbani kwa dereva wa bodaboda. Uchunguzi wa awali wa polisi...
View ArticleWakuu wa shule za serikali zilizofanya vibaya katika matokeo ya Form Six...
Wakuu wa shule za serikali zilizofanya vibaya kwenye matokeo ya mtihani wa kidato cha sita mwaka huu pamoja na Maofisa elimu wa Mikoa wamepewa muda wa mwezi mmoja ili kubaini chanzo cha shule zao...
View ArticleNyumba Nne zachomwa moto kwa tuhuma za Ushirikina
Wakazi wa kijiji cha Nguruka wilayani Uvinza mkoani Kigoma, wamechoma nyumba nne za familia moja yenye zaidi ya watu ishirini na kuteketeza vyakula na mali nyingine zenye zaidi ya shilingi milioni mia...
View ArticleIs This Diamond’s Response To Ali Kiba?
The ongoing ‘beef’ between Bongo musical giants Ali Kiba and Diamond Platnumz seems to be here to stay. They say they don’t have a problem with each other but is hard to believe them because their...
View ArticleDiamond Platnumz Confirms Wedding With Wema Sepetu
Tanzanian superstar DiamondPlatnumz is enjoying the fruits of his hard work in his musical career but that does not mean that he is putting his personal life on a hold. He has been moving from one...
View ArticleMabweni ya Shule yateketea kwa Moto Monduli
WANAFUNZI wa Shule ya Sekondari Erikisongo wilayani Monduli wamenusurika kifo baada ya vyumba vitano vya mabweni yao kuteketea na moto leo asubuhi. Moto huo ambao inaelezwa chanzo chake ni hitilafu...
View ArticleKilichoendelea katika kesi ya Mbasha Mahakamani jana July 23 2014: Mbasha...
KESI ya ubakaji inayomkabili mume wa Flora Mbasha ambae ni mwimbaji maarufu wa nyimbo za injili Tanzania Emmanuel Mbasha (32), ilitajwa tena July 23 2014 katika mahakama ya wilaya ya Ilala ambapo...
View ArticleMiaka Miwili ya Ndoa: Aunt Ezekiel aanza kusaka Mtoto
Mwigizaji nguli katika tasnia ya filamu Bongo, Aunt Ezekiel (pichani) anadaiwa kuanza kusaka mtoto ikiwa ni miaka miwili tangu afunge ndoa na Sunday Dimonte. Kwa mujibu wa rafiki wa karibu wa Aunt,...
View ArticleTiba na Kinga ya UKIMWI Yanukia......Watafiti wagundua dawa ya kuangamiza...
Watafiti katika Chuo Kikuu cha Sayansi na Tiba cha Temple, Marekani wamegundua dawa ya kuangamiza Virusi Vya Ukimwi (VVU) ambayo ni ya uhakika zaidi ukilinganisha na zilizowahi kupatikana katika...
View ArticleSakata la Viungo vya Binadamu kutupwa Dar: Chama cha Madaktari chataka Chuo...
Chama cha Madaktari Tanzania (MAT) kimesema Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Matibabu na Teknolojia (IMTU) sanjari na hospitali iliyo chini yake, vinastahili kufungiwa. Tamko hilo la chama limekuja...
View Article