JESHI la Polisi Wilaya ya Kinondoni jijini Dar limekamata viungo
mbalimbali vya binadamu vilivyowekwa kwenye mifuko ya plastiki na
kuhifadhiwa katika machimbo ya kokoto ya Bunju nje kidogo ya jiji la Dar
es salaam.
Taarifa za tukio hilo zimethibitishwa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni, Camilius Wambura ambapo amesema kuwa jeshi la polisi limeanza uchunguzi
↧