Waumini wapatao 29 wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi
Kinondoni leo jijini Dar es Salaam kwa tuhuma za kufanya fujo hadharani
katika Kanisa la Moravian lililopo Mwananyamala-Msisiri ” A” Wilaya ya
Kionondoni.
Katika kesi hiyo iliyounguruma kwa muda wa saa mbilli imeelezwa kuwa
Julai 20 mwaka huu katika kanisa hilo lililopo eneo la Mwananyamala
Msisiri ‘A’ waumini hao
↧