Moto wa uchaguzi mkuu umezidi kupamba baada ya mtandao wa walimu
vijana nchini kujitokeza hadharani na kuahidi kumpigia kampeni Naibu
Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba katika
safari yake ya kuwania urais.
Pia, mtandao huo uliahidi kuwafanyia kampeni
Makamba na vijana wenzake wote watakaojitokeza kuwania ngazi mbalimbali
za uongozi bila kujali itikadi za
↧