Quantcast
Channel: MPEKUZI
Browsing all 45270 articles
Browse latest View live

Mwasisi wa CHADEMA Afunguka....."Nililipwa mshahara sawa na Mwalimu Nyerere"

Inawezekana likawa jambo nadra kutokea kwa sasa, lakini enzi za uongozi wa Mwalimu Julius Nyerere lilitokea.    Ni baada ya mwasisi huyo wa Taifa kuamua kwa hiari kupunguza mshahara wake kwa asilimia...

View Article


Rais Kikwete: Hatufikirii Vita na Malawi.....Awataka Wananchi kutumia maji ya...

RAIS Jakaya Kikwete amesema kamwe Tanzania haitatumia nguvu kumaliza mvutano kati yake na Malawi kuhusu mpaka kati ya nchi hizo, huku akiongeza kuwa, Tanzania haioni mantiki ama busara yoyote kuingia...

View Article


"Hata kama ni Mwezi wa Ramadhani, haki ya Tendo la Ndoa lazima...

Mume  wa  mcheza  filamu  za  kibongo  Jack  Pantezel, Gadna  Dibibi  amesema  kuwa  mwezi  mtukufu  wa  Ramadhani  ni  haki  kwake  kufanya  jambo  lolote  kwa  mke  wake  kwani  wao  ni  wanandoa,...

View Article

Aunt Ezekiel: Sijawahi Mvulia Nguo Diamond na Sifikirii Kumtongoza

Wakati  ikidaiwa  kuwa  mwanadada  Aunt  Ezekiel  anamzunguka  Wema  Sepetu  na  kula  Penzi  la  shemeji  yake  Diamond, sasa  ameamua  kufunguka  na  kudai  kuwa  kamwe  hawezi  kumsaliti  Wema  na...

View Article

Flora Mbasha kudaka Mimba: Gwajima Akimbia Nchi....Auza kila kitu, Familia...

Kufuatia  sakata  la  Flora  Mbasha  na  mumewe  likumuhusisha  moja  moja  kiongozi  wa  kiroho  Mchungaji  Gwajima, habari  tulizozipata  ni  kwamba  mchungaji  huyo  amekimbia  nchi.... Habari...

View Article


Kitale (Mkude Simba) amwagia sifa kedekede Riyama Ally.

Kupitia ukurasa wa mtandao mmoja maarufu wa kijamii  nchini, mwigizaji wa vichekesho na filamu nchini, Kitale almaarufu kama Mkude Simba amemwamgia sifa kedekede mwigizaji mwigine anayefanya vizuri...

View Article

Gazeti la MAWIO Lapelekwa Mahakamani

MKURUGENZI Mtendaji wa kampuni ya AP Media and Consultant Limited, Bw. Peter Keasi, amefungua shauri la madai dhidi ya Mhariri wa gazeti la kila wiki la Mawio na mwandishi wa gazeti hilo Jabir...

View Article

Magazeti ya Leo Jumatatu ya July 21 2014

                      Magazeti  ya  Leo  Jumatatu  ya  July  21  2014

View Article


Walimu Wenye Digrii Mbioni kufundisha Shule za Msingi.....Rais Kikwete asema...

RAIS Jakaya Kikwete amesisitiza nia ya Serikali kutumia wahitimu wake wa vyuo vikuu, kufundisha shule za msingi huku akiwaweka sawa kwa kuwaambia kufanya hivyo si kuwashushia hadhi.   Hatua hiyo ya...

View Article


CCM, CHADEMA Wamgombea Dude

Baada ya kutangaza nia ya kugombea ubunge, staa wa sinema Bongo, Kulwa Kikumba ‘Dude’ amesema anapata wakati mgumu kwa kuwa vyama vikubwa vya siasa vinamgombea..  Akizungumza na mwanahabari wetu, Dude...

View Article

Ngumi Zapigwa ndani ya Kanisa la Moravian Dar.....Polisi Wapiga Mabomu,...

JESHI la Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni, jana limelazimika kutumia mabomu ya machozi na kuwatia mbaroni waumini 29 wa Kanisa la Moravian Usharika wa Kinondoni, Dar es Salaam baada ya kutokea vurugu...

View Article

Binti aliyetumikishwa kwenye Madanguro China ahojiwa na Polisi kwa masaa 11

Shirika la Polisi la Kimataifa (Interpol), Tawi la Tanzania, limemhoji kwa saa kumi na moja binti aliyerubuniwa na kupelekwa China ambako kwa miezi mitatu alikuwa akitumikishwa kwenye madanguro nchini...

View Article

IPTL yaomba Mahakama Kuu Dar Imfunge Mdomo Kafulila

Kampuni ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) imewasilisha maombi Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, ikiomba itoe amri ya kumfunga mdomo Mbunge wa Kigoma Kusini (NCCR- Mageuzi), David...

View Article


Mtoto wa Miaka 8 Adaiwa Kulawitiwa na Mwendesha Boda Boda

Mtoto mwenye umri wa miaka nane anadaiwa kulawitiwa na jamaa aliyetajwa kuwa ni mwendesha bodaboda. Tukio hilo lilijiri hivi karibuni mjini hapa ambapo katika maelezo ya mtoto huyo wa kiume alidai...

View Article

Kanisa Lafungwa baada ya Mchungaji wa kanisa hilo kufumaniwa Live na Mke wa...

Mwanzoni  mwa Mwezi  July  2014, Mchungaji Michael Semeni wa Kanisa la Living Word Ministry lililopo Ukonga- Majumba Sita jijini Dar es Salaam  alifumaniwa  live  akijiandaa  kuvunja  amri  ya  sita...

View Article


Waumini wa Kanisa la Anglikana Temeke jana nusura WAZIPIGE wakati wa ibada

Kiongozi wa Kanisa la Anglikana Tanzania, Askofu Dk Valentino Mokiwa.   Waumini wa Kanisa la Anglikana la Watakatifu wote Temeke, jana nusura wazipige wakati ibada ikiendelea ambapo hali hiyo...

View Article

Mtoto wa Miezi 7 ALAWITIWA na Baba yake Mzazi

Mtoto mwenye umri wa miezi saba amelawitiwa na baba yake mzazi.    Mtoto huyo alifikishwa Hospitali ya Amana katikati ya wiki iliyopita kwa maelezo kuwa ana maradhi ya kuharisha, lakini baada ya...

View Article


Maajabu ya Dawa ya JIKO katika Kumaliza na Kuponyesha Tatizo la Nguvu za Kiume

Neema  Herbalist  & Nutritional  Foods  Clinic  ni  wauzaji wa  dawa  mbalimbali  za  asili. Tunapenda  kuwatangazia  wateja  wetu  kuwa  tunayo  dawa nzuri  ya  asili  inatibu na  kuponyesha...

View Article

Vita ya Urais Yashika Kasi.....Walimu Waunda MTANDAO Kumuunga mkono January...

Moto wa uchaguzi mkuu umezidi kupamba baada ya mtandao wa walimu vijana nchini kujitokeza hadharani na kuahidi kumpigia kampeni Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba...

View Article

Vurugu ndani ya Kanisa la Moravian Dar: Waumini 29 waliotwangana NGUMI Jana...

Waumini wapatao 29 wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni leo jijini Dar es Salaam kwa tuhuma za kufanya fujo hadharani katika Kanisa la Moravian lililopo Mwananyamala-Msisiri ” A”...

View Article
Browsing all 45270 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>