Mwanzoni mwa Mwezi July 2014, Mchungaji Michael Semeni wa Kanisa la Living Word Ministry lililopo Ukonga- Majumba Sita jijini Dar es Salaam alifumaniwa live akijiandaa kuvunja amri ya sita na muumini wake ambaye ni mke wa mtu ndani ya ofisi yake.
Mchungaji Semeni alinaswa
akiwa na mwanamke huyo aitwaye Erizabert Kisanda, mkazi wa jijini Mwanza
ambaye alifika Dar
↧