Mtoto mwenye umri wa miaka nane anadaiwa
kulawitiwa na jamaa aliyetajwa kuwa ni mwendesha bodaboda.
Tukio hilo
lilijiri hivi karibuni mjini hapa ambapo katika maelezo ya mtoto huyo wa
kiume alidai kwamba, akiwa anatoka shule na mwenzake, njiani walisimama
wakawa wanaokota matunda aliyoyataja kwa jina la ntalali.
Alisema ghafla mtuhumiwa alitokea na kumtaka mtoto huyo ampeleke
↧