Kampuni ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL)
imewasilisha maombi Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, ikiomba itoe
amri ya kumfunga mdomo Mbunge wa Kigoma Kusini (NCCR- Mageuzi), David
Kafulila.
Kampuni hiyo imewasilisha maombi hayo siku chache
tu baada ya kumfungulia mashtaka ya kashfa mbunge huyo kwa kuituhumu
kujipatia Sh200 bilioni kutoka katika Akaunti ya Escrow ndani
↧