Shirika la Polisi la Kimataifa (Interpol), Tawi la Tanzania,
limemhoji kwa saa kumi na moja binti aliyerubuniwa na kupelekwa China
ambako kwa miezi mitatu alikuwa akitumikishwa kwenye madanguro nchini
humo.
Siku chache zilizopita, Mwananchi liliandika
mfululizo, makala kuhusu msichana Munira Mathias, (si jina lake halisi)
aliyetumikishwa kwenye madanguro nchini China, baada ya
↧