JESHI la Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni, jana limelazimika kutumia mabomu ya machozi na kuwatia mbaroni waumini 29 wa Kanisa la Moravian Usharika wa Kinondoni, Dar es Salaam baada ya kutokea vurugu za waumini kanisani hapo.
Akizungumza na Majira, Kamanda wa Mkoa wa Kipolisi Kinondoni, Camillius Wambura, alikiri jeshi hilo kuwatia mbaroni waumini hao na kusema kuwa, taratibu
↧