Baada ya kutangaza nia ya kugombea ubunge, staa wa sinema Bongo,
Kulwa Kikumba ‘Dude’ amesema anapata wakati mgumu kwa kuwa vyama vikubwa
vya siasa vinamgombea..
Akizungumza na mwanahabari wetu, Dude alisema kuwa awali alikuwa
agombee kupitia Chadema, lakini baadaye CCM nao kupitia kiongozi mmoja
mwenye wadhifa mkubwa serikalini alimtaka agombee kupitia tiketi ya
chama hicho, jambo
↧