RAIS Jakaya Kikwete amesisitiza nia ya Serikali kutumia wahitimu wake wa vyuo vikuu, kufundisha shule za msingi huku akiwaweka sawa kwa kuwaambia kufanya hivyo si kuwashushia hadhi.
Hatua hiyo ya walimu wenye Shahada kuanza kufundisha shule za msingi tofauti na ilivyozoeleka, chini ya Sera ya Elimu na Mafunzo ya mwaka 1995, ni sehemu ya mageuzi makubwa, yanayotarajiwa kufanyika katika
↧