Quantcast
Channel: MPEKUZI
Browsing all 45270 articles
Browse latest View live

Lulu Atia Team Kwa Kina Terrence J Kuisaka Namba Ya Simu Ya Justin Bieber

Vile vituko vya reja reja kutoka kwa Tanzanian star actress Elizabeth Michael "Lulu" bado vinaendelea. Habari mpya zinasema kuwa juzi Lulu alienda kwenye seminar ya kuzungumza na wasanii wa Tanzania...

View Article


Kesi ya Mume wa Flora Mbasha Yapigwa Kalenda.....Bofya Hapa kuona kilichojiri...

Mume wa mwimbaji wa nyimbo za injili nchini Frola Mbasha,Mr.Emanuel Mbasha  jana alipandishwa tena kizimbani katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala kujibu mashtaka mawili yanayo mkabili ya ubakaji....

View Article


Watuhumiwa 17 wa UGAIDI wafikishwa Mahakamani chini ya Ulinzi Mkali wa Magari...

Watu 17 wamepandishwa kizimbani  katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na mashitaka ya kujihusisha na vitendo vya ugaidi.   Washitakiwa hao walifikishwa mahakamani hapo jana saa 7:30...

View Article

Lori laparamia klabu cha Pombe ....Laua Watano papo hapo, Watatu ni ndugu wa...

Vilio na simanzi vimetalawa katika kitongoji cha Isimila old stone age cha  kijiji cha Ugwachanya wilaya ya Iringa Vijijini mkoani Iringa baada ya watu watatu kufa papo hapo na wengine watatu...

View Article

Ally Kiba Azungumzia Ugomvi wake na Diamond.....Bofya hapa kumsikiliza

Mtaani kumekua na stori nyingi sana zinazowahusisha mastar kutoka Kigoma Ally Kiba pamoja na Diamond Platnumz na maneno mengi yamekua ni kuhusu uhusiano wao kama wanamuziki.  Wengi wao wanasema kuwa...

View Article


Irene Uwoya afunguka juu ya tuhuma za kufanya fujo nyumbani kwa mume wa mtu

Nyota wa sinema za Kibongo, Irene Uwoya amefunguka juu ya tuhuma za kufanya fujo nyumbani kwa mume wa mtu zilizoripotiwa na mitandao mbalimbali ya habari nchini hivi karibuni.   Akizungumza...

View Article

Maajabu ya Dawa ya JIKO katika Kumaliza na Kuponyesha Tatizo la Nguvu za Kiume

Neema  Herbalist  & Nutritional  Foods  Clinic  ni  wauzaji wa  dawa  mbalimbali  za  asili. Tunapenda  kuwatangazia  wateja  wetu  kuwa  tunayo  dawa nzuri  ya  asili  inatibu na  kuponyesha...

View Article

Taarifa kamili Kuhusu tukio la HAUSIBOI aliyempasua kichwa mtoto kisha kula...

Asubuhi ya July 18 kutoka Moshi zilitoka taarifa za mfanyakazi wa ndani wa kiume [Houseboy] kumpasua kichwa mtoto mdogo wa darasa la 3 kisha ubongo wake kuamua kuutafuna. Baada ya kumaliza tukio hilo...

View Article


Wema Sepetu Amlipua Kajala, Kisa UNAFIKI

Wema Isaac Sepetu (25), amemlipua aliyekuwa shosti wake, Kajala Masanja ‘K’ ambaye wiki iliyopita alimwita mnafiki, habari  ambayo  ilisambaa  katika  mitandao  mbalimbali  ya  kijamii.   Katika...

View Article


Steve Nyerere: Natamani kuwa RAIS wa Tanzania

Mwenyekiti  wa  Club  ya  Bongo  Movie  Unity, Steven Mengere  'Steve  Nyerere' ndoto  yake  ni  kuwa  mmoja  wa  viongozi  wa  ngazi  ya  juu  hapa  nchini  ikiwa  ni  pamoja  na  kuwa  Rais  kwani...

View Article

Rayuu: Sikuenda KUROGA, Sumbawanga ni Nyumbani

Msanii  anayefanya  vizuri  katika  tasnia  ya  filamu  nchini, Alice  Bagenzi  'Rayuu'  amesema  amekuwa  akisikia  maneno  ya  chinichini  kwamba  ameenda  Sumbawanga  Kuroga.... Tetesi  hizo  za...

View Article

Chid Benz, Dudubaya, TID: Kama ngumi Piganeni na Matumla, Kaseba au Ckeka.......

Mwandishi: Joyce  Kiria. Ukatili wa kijinsia haukubaliki hata kidogo, wengine tunapambana usiku na mchana kutokomeza vitendo hivi vya Ukatili na Udhalilishaji, cha ajabu watu maarufu sasaivi...

View Article

Shilole: Ntafunga Ndoa na Mziwanda niwafunge Midomo WANAFIKI

Msanii  wa  maigizo  na  muziki  wa  kizazi  cha  leo, Zena  Mohammed  'Shilole'  amekuja  juu  na  kusema  anashangazwa  na  habari  zilizozagaa  mjini  kuwa  yeye  amekataliwa  ukweni.... Akiongea...

View Article


CHADEMA Jimbo la Kigoma Kaskazini: Tamko kuhusu kuondoka kwa waliokuwa...

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Jimbo la Kigoma Kaskazini tunapenda kutoa taarifa kwa umma kutokana na sintofahamu inayotaka kulazimishwa mbele ya jamii kuhusu uimara wa chama chetu mkoani...

View Article

TV Station Ya Kimataifa Yamchukua VJ Penny Kutangaza Filamu Za Kitanzania.

Vipindi vya TV kuhusu filamu za kitanzania vinazidi kuongezeka kila siku katika harakati za kuzidi kuitangaza tasnia ya filamu Swahiliwood.  Habari mpya ni kuwa mtangazaji maarufu nchini VJ Penny soon...

View Article


Masogange Azianiaka Tatoo zake za Tumboni

VIDEO  Queen  nambari  moja  Bongo  Agness  Masogange  amepost  picha  katika  mtandao  wa  kijamii  akiwa  na  mpenzi  wake  kitandani  ambaye  hakumtambulisha  jina  wakiwa  wamejichora  tatoo  hadi...

View Article

Mr. Tanzania Amzimikia Jack Wolper......"Nakupenda Sana Kamdoli kangu"

Modo  wa  Tanzania  anayejulikana  kwa  jina  la  Calisah  ambaye  amewahi  kushiriki  Mr.Tanzania  2013-2014  ameandika  picha  za  kimahaba  katika  picha  za  msanii  maarufu  wa  filamu, Jackline...

View Article


Mabomu ya Machozi Yatumika kuwatawanya Wananchi waliovamia na kuanza kuchota...

Jeshi la polisi mkoani Iringa limetumia mabomu ya machozi kuwatawanya wananchi ambao walivamia na kuanza kuchota mafuta kwenye lori la kubeba mafuta baada ya kupata ajali.    Ajali hiyo imetokea jana...

View Article

Kahaba wa Tanzania Asimulia Jinsi alivyousambaza UKIMWI kwa Maelfu ya Wanaume

MWANAMKE mmoja wa Kitanzania aliyefanya ukabaha kwa miaka 18 katika miji mbalimbali ya Tanzania, likiwemo Jiji Kuu la kibiashara la Dar es Salaam na mingine ya Namibia, ameibuka na kueleza jinsi...

View Article

Idd el Fitr kuswaliwa kitaifa Dar es Salaam.....Mgeni Rasmi ni Rais Kikwete

WAKATI Waislamu wakiwa ukingoni mwa mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, imefahamika kuwa, swala ya Idd el Fitr itafanyika kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam ambapo mgeni rasmi anatarajiwa...

View Article
Browsing all 45270 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>