Askari wa Jeshi la Wananchi ( JWTZ ) afariki dunia mazoezini Mlima...
Ofisa mmoja wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) amefariki dunia na mwingine amesagika mguu baada ya mawe kuporomoka wakati wakipanda Mlima Kilimanjaro katika mazoezi. Wanajeshi hao ni...
View ArticleMagazeti ya Leo Alhamisi ya Tarehe 17 July 2014
Magazeti ya Leo Alhamisi ya Tarehe 17 July 2014
View ArticleMwanamke aliyeiba Mtoto huko Sumbawanga ili kulinda Ndoa Yake Ahukumiwa Mwaka...
Mkazi wa kijiji cha Kisumba, Manispaa ya Sumbawanga, Halima Nambeya (18) ametupwa jela mwaka mmoja na Mahakama ya wilaya ya Sumbawanga baada ya kukiri kosa la kuiba mtoto mchanga wa kiume kwa...
View ArticleNjaa Yamliza Baby Madaha......Akesha akiomba mwezi mtufuku wa Ramadhani Uishe...
Staa wa muziki na filamu Bongo, Baby Joseph Madaha ‘Baby Madaha’ amesema kuwa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani umembana kiuchumi kwani kumbi nyingi za starehe zimefungwa kwa hiyo anashindwa kupata pesa....
View ArticleMganga wa Jadi anaswa Gesti na Wake za Watu......Alikuwa akiwatengenezea dawa...
Mume na Mke wakizozana. ************ Mganga wa jadi almaarufu sangoma aliyetajwa kwa jina la Wadebi Jinasa amepata aibu ya karne baada ya kunaswa ‘live’ na wake za watu kwenye gesti moja (jina...
View ArticleRais Kikwete aandaa Futari kwa Viongozi wa Dini ya Kiislamu Ikulu Dar es Salaam
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiungana na viongozi wa madhehebu mbalimbali wa dini ya Kiislamu katika futari aliyowaandalia ikulu jijini Dar es salaam. Kadhi Mkuu wa Tanzania Sheikh Abdullah Yusuf bin...
View ArticleWaziri Makalla aonja Joto ya Jiwe Ubungo......Mkutano wavunjika baada ya...
NAIBU Waziri wa Maji, Amos Makalla, ameondolewa chini ya ulinzi wa polisi katika mkutano wa hadhara baada ya kuibuka kwa vurugu zilizotokana na wafuasi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na wale wa Chama...
View ArticleUNYAMA: Bibi Kizee Auawa kikatili kwa Kucharangwa Mapanga huko Shinyanga
Na Kadama Malunde-Shinyanga Mwanamke mmoja aitwaye Milembe Masanja(50) mkazi wa kitongoji cha Muhida kijiji na kata ya Busangi wilayani Kahama mkoani Shinyanga ameuawa kikatili kwa kucharangwa mapanga...
View ArticleFlora Mbasha na Mumewe HAWAJAPATANA
Imebainika kwamba waimbaji wa muziki wa Injili nchini, Flora Mbasha na mumewe, Emmanuel Mbasha hawajapatana kama ilivyodaiwa awali na taarifa zinasema kuwa mwanadada huyo ameanza...
View ArticleMakalio ya Koleta Yadatisha Watu Mlimani City
Msanii wa filamu, Coletha Raymond ‘Koleta’ hivi karibuni aliibua gumzo maeneo ya Mlimani City jijini Dar kutokana na kivazi alichokuwa amevaa huku makalio yake yakionekana kuongezeka kwa kiasi...
View ArticleLinah Aiga Rasmi THT
Mwanamuziki ambaye ni zao la Jumba la Vipaji Tanzania ‘THT’ Estalina Sanga ‘Linah’ ameaga rasmi jumba hilo ambapo inadaiwa kwa sasa atakuwa chini ya Kampuni ya No Fake Zone ‘NFZ’ inayoendesha shughuli...
View ArticleMagazeti ya Leo Ijumaa ya Tarehe 18 July 2014
Magazeti ya Leo Ijumaa ya Tarehe 18 July 2014
View ArticleLulu Atia Team Kwa Kina Terrence J Kuisaka Namba Ya Simu Ya Justin Bieber
Vile vituko vya reja reja kutoka kwa Tanzanian star actress Elizabeth Michael "Lulu" bado vinaendelea. Habari mpya zinasema kuwa juzi Lulu alienda kwenye seminar ya kuzungumza na wasanii wa Tanzania...
View ArticleMiili zaidi ya 100 yaokotwa baada ya ndege ya Malaysia 'Kutunguliwa' Ukraine
Mabaki ya miili zaidi ya 100 yameokotwa jirani na eneo ilipoanguka ndege ya Malaysian Airlines kule Grabovo jirani na mpaka wa Ukraine na Urusi . Reuters iliripoti mapema Alhamisi kuwa ndege hiyo...
View ArticleTrafiki 27 Watimuliwa Kazi kwa Rushwa
PICHANI: Askari trafiki wakiwa kazini katika moja ya mitaa ya Dar es Salaam. Askari 27 wa Kikosi cha Polisi cha Usalama Barabarani wamefukuzwa kazi ndani ya kipindi cha miezi sita kutokana na...
View ArticleKesi ya Mume wa Flora Mbasha Yapigwa Kalenda.....Bofya Hapa kuona kilichojiri...
Mume wa mwimbaji wa nyimbo za injili nchini Frola Mbasha,Mr.Emanuel Mbasha jana alipandishwa tena kizimbani katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala kujibu mashtaka mawili yanayo mkabili ya ubakaji....
View ArticleWatuhumiwa 17 wa UGAIDI wafikishwa Mahakamani chini ya Ulinzi Mkali wa Magari...
Watu 17 wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na mashitaka ya kujihusisha na vitendo vya ugaidi. Washitakiwa hao walifikishwa mahakamani hapo jana saa 7:30...
View ArticleLori laparamia klabu cha Pombe ....Laua Watano papo hapo, Watatu ni ndugu wa...
Vilio na simanzi vimetalawa katika kitongoji cha Isimila old stone age cha kijiji cha Ugwachanya wilaya ya Iringa Vijijini mkoani Iringa baada ya watu watatu kufa papo hapo na wengine watatu...
View ArticleVigogo 6 Wanaoutafuta Urais ndani ya CCM Watishwa tena.....Yadaiwa...
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema kitawapima mwezi ujao Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Benard Membe ili kujua ni kwa kiasi gani...
View ArticleAlly Kiba Azungumzia Ugomvi wake na Diamond.....Bofya hapa kumsikiliza
Mtaani kumekua na stori nyingi sana zinazowahusisha mastar kutoka Kigoma Ally Kiba pamoja na Diamond Platnumz na maneno mengi yamekua ni kuhusu uhusiano wao kama wanamuziki. Wengi wao wanasema kuwa...
View Article